TZ Queens |
Tanzania Queens wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana. |
Kazi inaendelea kwa TZ Queens |
TZ Queens mzigoni |
TZ Queens |
Kundi la Best Friends likifanya mambo wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA. PICHA ZOTE: AMUR HASSAN. |
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment