Mkuu wa wilaya ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchungu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi , Saada Mwaruka.
Mkuu wa wilaya ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchunugu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere.
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment