Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.
Hapa alikuwa akiimba ndani ya Boti , wakati wa kutengeneza wimbo wake.
Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa.
Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch.
Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting.
Hapa akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani.
Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapa http://www.god-love.de/
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment