Ofisa Mwandamizi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Alfred Mbogora,amefariki mapema tarehe 18/8/2012 katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua ghafla.
Taarifa zinasema siku ya jumatano aliuguwa ghafla akiwa safarini kuelekea Bagamoyo kikazi.Ambapo njiani alisema hajisikii vizuri na kupoteza nguvu.
Marehemu Alfred Mbogora aliwahi pia kufanya kazi katika taasisi ya Utafiti na Demokrasia(REDET),amewahi kuwa mwandishi wa habari wa SHIHATA,The Guardian na The African.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI-AMIN
0 comments:
Post a Comment