Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akiongea na wakazi wa jiji la Tanga na vitongoji vyake juu ya ujio wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajia kulindima kesho Jumapili Uwanja wa Mkwakwani na kupabwa na wasanii mbali mbali ikiongozwa na Prezzo kutoka Kenya. Kiingilio cha shilingi elfu tano (5,000).
Gari la kurusha matangazo live bila chenga likiwa eneo la Komesho, Tanga ambapo matangazo yalikuwa yanarushwa moja kwa moja kutoka Tanga.
Kila kijana alipata nafasi ya kuonyesha kipaji chake.
Gossip Cop TZ, Sudi Brown akionyesha manjonjo yake katika staili yake ya ninja.
Katika burudani ya nje, hakuna aliyetaka kupitwa.
Wananchi wakifuatilia kwa makini.
...haya twendeee
Show love nayo ilikuwepo.
Mwanadada akionyesha umahili wake wa kudata na biti hadi Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akamkubali.
Wameng'aa.
Mama kafurahi baada ya kupewa t-shirt.
Michano ikiendelea.
Nyomi ya kutosha.
Wameng'aa.
Mama kafurahi baada ya kupewa t-shirt.
Michano ikiendelea.
Nyomi ya kutosha.
0 comments:
Post a Comment