Yanga wakifanya mazoezi.
wachezaji na viongozi wa yanga wakipata maelezo kabla ya kuingia kutembelea nyumba ya makumbusho ya mauaji ya kimbari
yanga wakiwasili katika makaburi ya mauaji ya kimbari mjini kigali
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa yanga, Fatma Karume akiwaongoza viongozi na wachezaji wa yanga kwenda kuweka mashada
viongozi wa yanga wakisubiri kuzuru na kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari mwaka 1994.Picha zote kwa hisani ya SALEH ALLY WA GAZETI LA CHAMPIONI
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment