Mgeni
rasmi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole
Gabriel (katikati) kwa niaba ya Waziri Wizara ya Habari Utamaduni na
Michezo Dkt. Fenella Mukangara katika meza kuu wakati wa maadhimisho ya
siku ya Vijana Kimataifa Duniani ambapo Tanzania iliadhimishwa katika
viwanja vya Temeke Mwembeyanga. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Bi.
Mariam Khan na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la AMREF Bw.
Festus Ilako.

Mwakilishi
Mkazi wa UNFPA Bi. Mariam Khan (kushoto) akisalimia umati wa wakazi wa
jijini Dar (hawapo pichani) na kutoa ujumbe kwa vijana kuungana na
kujiepusha na mangonjwa hatarishi. Kulia Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel.

Gabriel akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Bi. Mariam Khan.

Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel akiwasilisha
ujumbe kwa niaba ya Waziri wa Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo
ambapo amewataka vijana kujitambua na kuwa na mikakati endelevu na kukaa
kama vikundi ili Serikali iweze kuwasaidia kupata misaada na
kuwawezesha kuwa na maendeleo endelevu katika siku hii ya maadhimisho ya
siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 11
Agosti na kutimiza malengo aliyokuwa akiyatafakari baba wa Taifa Mwalimu
Julius Nyerere juu ya Vijana.

Umati
wa wakazi wa Temeke katika tamasha la siku ya maadhimisho ya Kimataifa
ya Vijana Duniani ambako zilifanyika shughuli mbambali ikiwemo Ujumbe
kutoka Serikalini na Kupima virusi vya Ukimwi bure.

Baadhi
ya Vijana wakitazama machapisho ya vijarida mbalimbali vinavyotoa
taarifa kuhusiana na Afya zao na jinsi ya kupata huduma.

Mpiga
picha Jofrey Mwakibete akipima Presha katika hatua za kuelekea kupima
maambukizi ya VVU ikiwa ni kuhamasisha Vijana wenzake kujitambua kama
wameathirika.

Mmoja wa wakazi wa jijini Dar es Salaam akicheki Afya yake.
Wakazi
waliohamasika kupima VVU na magonjwa ya Zinaa wakiwa katika foleni ya
kupata huduma hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya vijana
Duniani katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar.

Mpiga picha Jofrey Mwakibete akipima Virusi vya Ukimwi.
Kikundi cha Sarakasi cha Rayon Kids kutoka Temeke kikitoa burudani wakati wa maadhimisho hayo.
Meza
Kuu ikongozwa na Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana
Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel kwa niaba ya Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo akikagua Timu ya soka ya Vijana ya Wanawake
ya Evergreen kkutoka Temeke ambayo ilipambana na Timu ya Mburahati
Queens kuonyesha ushirikiano wa Vijana akiwa ameambatana na Mwakilishi
Mkazi wa UNFPA Maria Khan na Mkurugenzi Mkazi wa AMREF Dkt. Festus
Ilako.

Mheshimiwa mgeni rasmi hapa akikagua timu ya Mburahati Queens.
Pichani
Juu Kipute kati ya Mburahati Queens na Evergreen Queens ambapo
mchezo huo ulimalizika kwa Evergreen kushinda 2-1.

0 comments:
Post a Comment