Mwenyekiti wa Bodi ya usajili wa wahandisi nchini Mhandisi Prof.
Ninatubu Lema (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya 10 ya jumuiya ya
wahandisi kuanzia tarehe 6-7 mwezi wa tisa mwaka huu. Kwa mwaka wa fedha
2011/12 Bodi hiyo iliweza kuwafutia usajili wahandisi 164 ambao
walikiuka maadili ya kazi na kusimamisha miradi 12 kutokana na ukiukwaji
wa kanuni za uhandisi na taratibu za kiujenzi. Kulia ni Msajili wa Bodi
Mhandisi Steven Mlote.

Mwenyekiti
wa Bodi ya usajili wa wahandisi nchini Mhandisi Prof. Ninatubu Lema
(katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)jana jijini
Dar es Salaam kuhusu sherehe za maadhimisho ya 10 ya jumuiya ya
wahandisi yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia tarehe
6-7 mwezi wa tisa mwaka huu. Kulia ni Msajili wa Bodi Mhandisi Steven
Mlote na Kushoto ni Msajili Msaidizi Mhandisi Benedict Mukama.Picha na
Anna Nkinda – Maelezo

Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment