Meneja
wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) akipeana mkono na
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo Manispaa ya Ilala, katika
hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi
milioni 5 yaliyotolewa na Benki ya NMB

Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo katika Manispaa ya Ilala, wakifurahia
madawati yaliyotolewa na benki ya NMB jana kwa ajili ya kukabiliana na
tatizo la uhaba wa madawati shuleni hapo. Msaada huo umetolewa siku moja
kabla ya kuanza kwa mtihani wa taifa wa darasa la saba.

Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (kushoto) akipeana mkono na
Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) wakati wa
makabidhiano ya madawati 50 yenye thamani ya sh milioni 5

0 comments:
Post a Comment