Watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi.
Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea kufanywa katika hali ya ugumu kutokana na Ukosefu wa zana/vifaa vya kuokolea.
Hadi muda huu Kufuatia harakati hizo ni Maiti Moja tu ndio imeweza kupatika.....
tunaendelea kufuatilia tikio hilo kwa ukaribu na Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia hapa hapa.
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment