Balozi
Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia hapa
Wizarani, akisalimiana na Bibi Moon Jim Kim, mke wa Balozi Young-Hoon
Kim, Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi
nchini. Pichani ni Mhe. Balozi Kim.

Naibu
katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Rajabu Gamaha akimzawadia Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda
wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga
iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun,
Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Rajabu Gamaha akimtakia heri na uzima wa afya Balozi wa Korea
Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati
wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye
Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim,
Moon Jim Kim.Picha Zote na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

0 comments:
Post a Comment