Ads 468x60px

Sunday, August 26, 2012

UFUNGUZI WA TAWI LA CCM DC WAFUNIKA BOVU, PICHA NA MATUKIO


 MH. Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.

 MH. Abdulhaman Kinana akipiga makofi uku hakiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM, watu wengi walijitokeza katika ufunguzi huo na kujipatia kadi za chama chao tawala cha CCM.
 Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.
 Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiriza lisara lilikuwa lina sumwa ukumbuni hapo
 Loveness mwenyeketi wa tawi la CCM, DC akiongea maneno mawili matatu kabla ya kumkaribisha mgeni rasm katikia shughuri hizo za ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC.
Watu wengi sana walijitokeza kati ufunguzi huo kama unavyo ona katika picha

 MH. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness. Kwa picha zaidi bofya ready more.






























0 comments: