Mahmoud Ahmad Arusha
Imeelezwa
kuwa hali ya ujangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba hapa nchini ni
mbaya na ya kutisha kwani taarifa zinaonyesha kuwa mwaka 1989-2010 robo ya meno
ya tembo yaliyokamatwa duniani kote yanatoka Tanzania.

Kauli hiyo
imetolewa na naibu waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu wakati
akiongea na vyombo vya habari kwenye hotel ya Mount Meru jijini hapa na
kubainisha kuwa taarifa zinaonyesha42% ya tembo katika Selous Game Reserve na
hifadhi ya taifa mikumi wametoweka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Nyalandu
alisema kuwa hiyo ni sawa na tembo zaidi ya 31,348 sawa na asilimia 42 na kuwa
kumekuwepo na mtandao wa kimataifa wa(Sophisticated International Criminal
Syndicate)unafanyakazi hapa nchini na kumekuwa na uchimbaji mdogo wa madini kwenye mbuga za Serengeti
kunakofanywa kinyume na sheria.

“Nimepata
taarifa hizi za kushtusha kutoka wizara ya nishati na madini kwamba kuna
shughuli za uchimbaji zinazoendelea kwenye mbuga za hifadhi hizi na wizara hiyo
imenieleza kwamba haijatoa leseni ya uchimbaji ,utafiti wa madini kwenye
hifadhi ya Serengeti hivyo wanaofanya uharamia huu ni kwa matakwa yao tena
kinyume cha sheria”alisema Nyalandu

.
Taarifa hizi
zinatishia hali ya usalama wa tishio dhidi ya uhifadhi itakubukwa kuwa hifadhi
ya Serengeti ni sehemu ya urithi wetu na dunia unaosimamiwa na wold Heritage
Committee chini ya (UNESCO) na serekali ya Tanzania inayo dhamana ya kuulinda
urithi huu kwa niaba ya watanzania na dunia.

akatoa agizo kwa bodi ya wadhamini ya mamlaka za hifadhi za taifa(TANAPA)itoe
maelezo ya kina kuwepo watumishi wa ndani ya mamlaka na hifadhi wanaosadikiwa
kushirikiana na majangili pamoja na maharamia kuendesha shughuli hizi zinazo
hatarisha hifadhi zetu na heshima ya Serengeti.

Alisema kuwa
kuna taarifa hali tete za kuongezeka
vitendo vya kijangili kuwepo shughuli za uchimbaji wa madini katika hifadhi za
Serengeti.

0 comments:
Post a Comment