Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre ambaye ameingia kwenye fainali anaomba umuunge mkono kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii:
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
0 comments:
Post a Comment