Ads 468x60px

Friday, August 24, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Amewataka wananchi wote wa Zanzibar Kushirikiana na Makarani wa Sensa

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akisisitiza jambo
alipozungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)akitoa taarifa kwa
wananchi wote wa Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa
majibu yalio sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika
26 Agosti 2012.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akifafanua jambo
alipozungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)akitoa taarifa kwa
wananchi wote wa Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa
majibu yalio sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika
26Agosti2012.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdalla Mwinyi (hayupo pichani ) akitoa taarifa kwa wananchi wote wa
Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa majibu yalio
sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika 26 Agosti 2012.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

0 comments: