Ads 468x60px

Friday, August 24, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aagana na balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Aliyemaliza Muda Wake,Bw.Young- Hoon Kim


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, balozi wa Jamhuri
ya Korea nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Young- Hoon Kim ambaye
alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu Agust 23 2012 kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea
nchini, Bw. Young-Hoon Kim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam Agust 23, 2012 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu


Copyrights Tabitha Hudson 2012

0 comments: