Ads 468x60px

Saturday, September 22, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete alipoongoza kikao maalum cha Baraza la Mawazi


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
(kushoto), Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa, Waziri wa Kilimo Profesa
Jumanne Maghembe na Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki Mhe Samuel
Sitta baada ya kumalizika kwa mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri
pamoja na Manaibu Mawaziri na Makatibu wakuu alipokutana nao Alhamisi
Septemba 8, 2012 katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es
salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
(kulia kwake) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto)
kwake wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Manaibu
Mawaziri na Makatibu wakuu alipokutana nao Alhamisi Septemba 8, 2012
katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.

Wajumbe katika mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Manaibu
Mawaziri na Makatibu wakuu wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete
(hayupo pichani) alipokutana nao Alhamisi Septemba 8, 2012 katika ukumbi
wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.

0 comments: