Wachimbaji wa Namungo camp,Kitandi na wananchi wakisaidiana
Wananchi wakishuudia uokoji
Wananchi wakisaidiana katika uokoaji
Baadhi miili ikisubiliwa kuokolewa
Baadhi ya maiti zilizoweza kupatikana
RPC wa lindi mwakajinga na OCD wa RUNGWA V.P MAJANI wakitoa salamu za rambirambi kwa wafiwa na kutoa shukrani kwa waokoji eneo latukio.
Maafa yalitokea Ruangwa mkoani Lindi katka kijiji cha Mnacho, na kusababisha vifo vya wachimbaji madini saba kuaga dunia baada ya kifusi cha mwamba kuwafunika,waokoaji walijitaidi sana kupata miili hiyo japokuwa vitendea kazi vilikuwa duni.Majina ya miiili hiyo ni CHAKODA(20) DAR-ES-SALAAM,NYANG'NA(42)MUSOMA,UWESU BAKARI(25)RONDO LINDI,MOHEMED OMARY(28)MOROGORO,BAKARI RASHID LIGANAGA(26)CHUNYU RUANGWA,ADAM SAYAI -BUNDA, RASHID HAMIS YASSIN-NACHINGWEA.
chanzo cha habari na Victor Richard
Copyrights Tabitha Hudson 2012
0 comments:
Post a Comment