Ads 468x60px

Monday, September 10, 2012

Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Kampala, Uganda

 Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia
waraka wenye makubaliano kabla ya yeye  na Wakuu wenzake wa  Nchi na
Serikali  za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao
uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo
mjini Kampala, Uganda.
 Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa
na  Wakuu wenzake wa  Nchi na Serikali  za Ukanda wa Maziwa Makuu baada
ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke
Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda,Picha na IKULU

0 comments: