
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi

Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

Shughuri za kuzika zimeanza


Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sas

Waziri Asie na Wizara Maalum Profesa Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiweka Shada la Mauwa

Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho

Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua



Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi leo mchana huu.. asante ya picha kwa mdau wa Mbeya Yetu aliyeleta taswira hizi moja kwa moja.
0 comments:
Post a Comment