Ads 468x60px

Saturday, October 06, 2012

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA MAONYESHO YA MAZAO YA NYUKI


Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua vifaa vya kukamu asali baada ya kufungua
maonyesyesho ya mazo ya asali kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dae sa salaam Oktoba 5, 2012 kulia kwake ni Waziri
wa Viwanda na Biashara, Abdallh Kigoda.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kifurahia asali wakati alipotembelea Banda la
Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema  baada ya kufungua maonyesho ya
kwanza ya Kitaifa ya mazao ya nyuki kwenye uwanja wa maonyesho wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Octoba 5, 2012. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Copyrights Tabitha Hudson 2012

0 comments: